Maafisa wa idara ya Marekani ya usafirishaji wapo jijini Dallas, Texas, kuchunguza sababu za ajali ya ndege mbili zilizo gongana hewani wakati wa maonyesho ya ndege na kuua watu sita baada ya ndege za kivita za wakati wa vita vya pili vya dunia ziligongana na kuanguka.