Washambulizi wa Al-Shabab wameshambulia chuo kikuu cha Garissa, kaskazini mashariki ya Kenya na kusababisha vifo vya takriban watu 70 kulingana namaafisa wa serikali na zaidi ya 70 kujeruhiwa.
Al-Shabab washambulia chuo kikuu cha Garissa Kenya

6
Kifaru cha jeshi la Kenya kikiwasili karibu na chuo kikuu cha Garissa,Garissa, Kenya, April 2, 2015.

7
Wanafunzi wakikusanyika nje ya chuo kikuu cha Garissa kufuatia shambulio la watu wenye silaha., April 2, 2015.

8
Wanafunzi wakitafuta usalama katika chuo kikuu cha Garissa

9
Wanafunzi wakitafuta usalama katika chuo kikuu cha Garissa