Uchaguzi unafanyika wakati wa mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19, na kugubikwa na wasiwasi wa ghasia pindi matokeo hayataridhisha upande wowote kati ya wagombea wawili wanaoongoza.
Uchaguzi Mkuu Burundi wafanyika wakati janga la corona likiendelea
Karibu wa-Rundi elfu tano wanashiriki katika uchaguzi mkuu wa kwanza wenye ushindani tangu kuzuka kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe mwaka 1998. Uchaguzi huu unafikisha ukingoni utawala wa miaka 15 wa Rais Pierre Nkurunziza.

1
Mgombea mkuu wa upinzani Agathon Rwasa na mkewe Annociate wakisubiri kupiga kura mjini Ngozi,

2
Evariste Ndayshimiye, mgombea kiti cha urais wa chama tawala cha CNDD-FDD Gitega, Burundi, Mai 20

3
Mpiga kura anashiriki katika uchaguzi mkuu Burundi, kijijini Ngozi, Mei 20, 2020

4
Polisi wakimsindikiza Agathon Rwasa, kiongozi wa upinzani baada ya kupiga kura