Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Mei 03, 2025 Local time: 02:08

Mwendesha mashtaka maalum wa serikali aeleza uongo uliopelekea uvamizi wa Bunge la Marekani


Mwendesha mashtaka maalum wa serikali aeleza uongo uliopelekea uvamizi wa Bunge la Marekani
please wait

No media source currently available

0:00 0:00:25 0:00

Kilichotokea Januari 06, 2021: Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump Jumanne amekabiliwa na mashtaka mengine ya uhalifu kwa mara ya tatu katika kipindi cha miezi minne, mashtaka ya hivi sasa yanahusiana na juhudi zake za kutaka kubatilisha uchaguzi wa 2020 ambao alishindwa.

Mashtaka hayo manne yanadai kuwa Trump alipanga njama ya kuilaghai Marekani kwa kulizuia Bunge kurasmisha ushindi wa Rais Joe Biden na kuwanyima wapiga kura haki yao ya uchaguzi wa haki.

Trump ameamriwa kufika katika mahakama ya serikali kuu Alhamisi.
Ungana na mwandishi wetu akikuletea

XS
SM
MD
LG